Dani carpentry ni mafundi walio bobea katika kutengeneza furniture kama masofa,milango,kochi za kisasa,milango ya kitamaduni(craft door) n.k.pia wamebobeaz katika kutengeneza nyumba kwa bei nzuri na wachoraji wa ramani za nyumba.(affordable price).
kiwanda chetu kinapatikana Tabata.
Karibuni sana,
Karibuni wateja,
pata ofaa,badilisha sofa zako katika bei nafuu sana,ushauri wa kitambaa cha kisasa.
pia tuna tengeneza on credit(unalipa kidogo kidogo).
0 maoni:
Post a Comment
Tuulize,tukujibu.